BLACK AND WHITE PODCAST -  UNACHEKA NIKIWA JUU ?TRACK

Sound

BLACK AND WHITE PODCAST - UNACHEKA NIKIWA JUU ?

Ashish Gurung
53:38 duration0 plays0 favoritesMedium quality
Talkshow & Interview
Play now

About this track

Kuna mambo mengi katika mahusiano ambayo huleta maswali ya kuchekesha lakini pia ya kufikirisha. Leo tunazungumzia swali moja ambalo wengi huuliza kwa kimyaโ€ฆ mbona unacheka tukikulana? Je, ni aibu, furaha, nervousness, au ni namna ya kuonyesha mapenzi? Mahusiano ni mchanganyiko wa hisia tamu, za kuchekesha, na wakati mwingine zenye spice kidogo ๐Ÿ˜. Katika episode hii tunaangalia mambo madogo madogo yanayofanya intimacy iwe ya kipekee, sababu zinazoweza kumfanya mtu acheke wakati wa close moments, na kama ni kitu cha kawaida au la. Kumbuka, mapenzi sio tu kuhusu maneno bali pia hisia, uaminifu na kuelewana. Jiunge nasi kwenye mazungumzo haya ya kina, ya kufurahisha na yenye ukweli mwingi kuhusu mahusiano. Usisahau kusubscribe, like, comment na kushare mawazo yako. Wewe unadhani mbona watu hucheka tukikulana? ๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ #BlackAndWhitePodcast #Mahusiano #LoveTalks #RelationshipTalk #KenyanPodcast #DatingTalks #IntimacyTalk #NaughtyTalk #LoveAndLife #SubscribeNow

From the album

Black n White Podcast album coverBlack n White Podcast30 tracks ยท Track 17

Dive into raw, unfiltered Kenyan conversations covering relationships and daily life. Whether weโ€™re ...

โ†’

You may also like

The Newsmakers cover art
The NewsmakersMiiss Koffii๐Ÿฅ€๐Ÿง˜๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ