TRACKSound
Dini Ya Uislamu Imekamilika || Sheikh Muhammad Sagana
bitaniya
18:06 duration0 plays0 favoritesMedium quality
Play now
About this track
Allah سبحانه وتعالى ametukamilishia dini yetu ya Uislamu. Hivyo, dini hii haijajengwa juu ya matamanio ya watu wala kuongezewa mambo ambayo hayakuletwa na Mtume Muhammad ﷺ. اليوم أكملت لكم دينكم وأتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم الإسلام دينا Jukumu letu ni kushikamana na Qur’an na Sunnah na kuilinda dini kama ilivyokamilishwa na Allah سبحانه وتعالى. #Islam #Quran #Sunnah #ILMTV
From the album
ILM TV KENYA106 tracks · Track 61ILM TV was established with the main objective of addressing misconceptions among the Muslims and no...
→










