TRACKSound
Dizasta Vina - Not A Hero
About this track
Official Lyrics Video for Tanzanian hip hop artist, songwriter, and record producer Dizasta Vina, Performing a record 'Not A Hero' Off the Album 'A father Figure' Stream/Download Not A Hero Boomplay - https://www.boomplay.com/songs/188023113 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/not-a-hero Mdundo - https://mdundo.com/song/3324764 Spotify - https://open.spotify.com/album/7it4TZqIGi1AiDAGHcksw8 Apple music - https://music.apple.com/us/album/not-a-hero-single/1777843709 Lyrics Nikiwa narudi kutoka kwenye sherehe za mahafali Nikakatiza kwenye mtaa wenye taa mbali Kwahiyo giza kubwa nikiwa na tahadhari Huku nikitafakari Vipi maisha yatakuwa? shule nimeua naingia mtaani Je nitapata kazi au nitalamba nyasi? Au nitaingia shambani ama nitaishika gun? Mawazo kichwani kama nitaipata mali Mbele namwona Lily, tunaenda njia moja Maana tunakaa mtaa mmoja, Just kona mbili Bado alikuwa amevaa joho la kuhitimu Na mkononi simu, akibofya nini.. Alitembea kulia kushoto, mwendo wa madaha Sometimes aruke kidogo kuonyesha furaha Aliyapiga majani kwa fimbo Nilisikia sauti kwa mbali akiimba wimbo Nilitamani kumwita niliogopa Nilibaki nyuma nilizuga sikumkaribia Maana Kitambo ninamjua ila daily tu navunga Vile mazoea hatuna na namfagilia Haikutokea siku, nidiriki kuthubutu hata Kumfata kumwomba contacts, Japo tunajuana tulisoma sekondari, Msingi na vidudu kumfuata niliona woga Moyoni napiga kelele "Come and save me" Nazama kwenye bahari hii ya mapenzi Pengine pia alinihusudu ila sikuwa kamili Pengine nilikuwa na nguvu ila sikuwa jasiri Aligundua kuwa, namfata kwa nyuma Aligeuka aliniangalia nikauchuna Alinipungia mkono niliupunga pia Lakini bado nilivunga sikumkaribia Hofu iliufunika upendo wangu Kila nikimwaza yeye niliiwaza kesho yangu NIlitamani mrembo asimame nimsemeshe soga Labda mikono tushikane tutembee pamoja Alikuwa karibu pia alikuwa mbali Nilijua kuwa naye penzini ingekuwa zali Nilitamani kumfata nimweleza nilichowaza Nilishindwa 'cause... (I'm not a Superhero) Ile haikuwa filamu so, I was not (
From the album
Dizasta Vina37 tracks · Track 21Dizasta Vina (born Edger Vicent Mwaipeta; February 17, 1993) is a Tanzanian rapper, songwriter, and ...
→










