Dizasta Vina - Utaliimba Jina Langu Ft G NakoTRACK

Sound

Dizasta Vina - Utaliimba Jina Langu Ft G Nako

YaSsino Zaa
6:39 duration42554 plays0 favoritesMedium quality
Hip-Hop
Play now

About this track

Official Video for Tanzanian Hip Hop Artist, Songwriter, and Record Producer Dizasta Vina, Performing a record 'Utaliimba Jina Langu' Off the Album 'A father Figure' Written by Dizasta Vina Music by Ringle Beatz, J'cob Drums by Double Vocals by Dizasta Vina, G Nako, Double Mixed and mastered by J'cob & Double Download/Stream Utaliimba jina langu now Youtube - https://youtu.be/o6HF2JRhAyo Mdundo - https://mdundo.com/song/3505315 Apple music - https://music.apple.com/us/album/utaliimba-jina-langu-feat-g-nako-single/1789237051 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/utaliimba-jina-langu DISCLAIMER: Images used in this work were for educational purposes, no harm ever intended Lyrics VERSE I Sitauona uzuri wa mataa Maua na uturi au usafi wa suti nitayoivaa Mtajadili kama nilifunzwa chuki na hii njaa Au msamaha niliomba baada ya kuivunja mioyo kadhaa Mikono yangu haitaishika sayari historia nitakuwa nimeimaliza tayari Naenda upande wa pili, asili itanipiga kabali Nitakuwa nimeimaliza safari Maombi hayatakidhi nisimame soja Nanyi mtaijua hadithi hii ya upande mmoja Pesa na ustaa hautanibeba Itaandikwa "mwisho wa kila shujaa ni jeneza" Siwezi kimbia udhuru hata nikibadili njia Nakuwa huru dhidi ya kufuru za hii dunia Mwangaza hautafika himaya yangu Je mtafurahi nikifa ama mtaliimba jina langu? Siku hii iwakumbushe kuwa kesho mbali Iwakumbushe havina maana pesa mjengo mkali Vyeo urembo na pesa nyingi Ni kiburi cha hii pumzi, pumzi ambayo ni temporary Sijui Nitamwachia nani mama yangu Ikiwa, nitaacha dini, itikadi ya chama changu Cheo changu hakitakuwa na maana tena Nitalala gizani japo mtajua nimelala pema CHORUS Kwakuwa niko mbali na ukweli na mimi ni dhaifu na kweli Kwakuwa niko mbali na ukweli na mimi ni dhaifu na kweli Dunia inashindwa kunilinda Dunia inashindwa kunilinda Dunia inashindwa kunilinda Dunia... VERSE II Nitalala sitahisia karaha zako Sitasikia matusi sitasikia msamaha wako Sitasikia kicheko au kilio cha unafiki Ubongo hautatafsiri mawimbi ya sauti yako Nini maana ya chuki yako kwa

From the album

Dizasta Vina album coverDizasta Vina38 tracks · Track 22

Dizasta Vina (born Edger Vicent Mwaipeta; February 17, 1993) is a Tanzanian rapper, songwriter, and ...

→

You may also like