Ep. 01 | Kila Hatua ya Maisha Ina Mtihani Wake | Bonga na Sisi PodcastTRACK

Sound

Ep. 01 | Kila Hatua ya Maisha Ina Mtihani Wake | Bonga na Sisi Podcast

Maipretty9
29:26 duration0 plays0 favoritesMedium quality
Islam
Play now

About this track

BONGA NA SISI PODCAST | EP. 01 Kila Hatua ya Maisha Ina Mtihani Wake Katika maisha, kila mmoja anapitia mtihani wake. Tunapokuwa watoto, tunakutana na changamoto za utoto; tunapokua, tunakutana na changamoto za shule, kazi, ndoa, familia na maisha kwa ujumla. Katika episode hii, Abu V na Sheikh Ibrahim Njuguna wanazungumza kuhusu changamoto tunazopitia katika hatua mbalimbali za maisha, na kwa nini hatupaswi kudhani kwamba maisha ya mtu mwingine hayana matatizo. Allah سبحانه وتعالى anasema: لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي كَبَدٍ "Hakika tumemuumba mwanadamu katika mashaka." [Surah Al-Balad 90:4] 🎙️ Host: Abu V 🎙️ Mgeni: Sheikh Ibrahim Njuguna Karibu Bonga na Sisi Podcast, mahali tunapozungumza, kujifunza na kushirikiana kuhusu maisha na changamoto zinazowakabili vijana wa Kiislamu. Usisahau LIKE, COMMENT, SHARE na SUBSCRIBE kwa ILM TV Kenya. #BongaNaSisi #ILMTVKenya #IslamicPodcast #MuslimYouth #SheikhIbrahimNjuguna

From the album

ILM TV KENYA album coverILM TV KENYA106 tracks · Track 47

ILM TV was established with the main objective of addressing misconceptions among the Muslims and no...

→

You may also like