TRACKSound
IJUE NDOA YAKO | USTADH HAMZA AHMAD | HOST: LUQMAAN MAHMOUD
insta : l9ahwi👻
1:03:02 duration0 plays0 favoritesMedium quality
Play now
About this track
Hiki kipindi ni kuhusiana masala yanayofungamana na ndoa,ikiwa ni talaka na uozeshaji katika uisilamu...kitakujia kila siku ya jumatano ikiongozwa na sheikh wetu Izzudin Alwy na mwendeshaji Luqman Mahmoud kuanzia saa tatu usiku mpka saa tano..jiunge nasi ufaidike...ukiwa na suala lolote unaweza kuliuliza uweze kujibiwa shukran...usikose ku like na ku subscribe
From the album
Al Ihsaan TV425 tracks · Track 30Religious Channel...
→










