Jux - Nisiulizwe (Official Audio) [Visualizer]TRACK

Sound

Jux - Nisiulizwe (Official Audio) [Visualizer]

Jux
3:09 duration177016 plays872 favoritesMedium quality
Hip-HopCover
Play now

About this track

Unveiling the "NISIULIZWE" Visualizer by Jux Immerse yourself in a visual masterpiece directed by Xniper Cg, complementing the soulful melody of Jux's latest track. 🌟 The Kompa Sound, crafted by S2Kizzy, harmonizes seamlessly with the emotive vocals. šŸŽ¶šŸŽ¬ Executive Producer SwaggDaddyRay ensures a perfect blend of talent. Experience the magic now! Ā© 2024 AFRICAN BOY REC Jux - Nisiulizwe Lyrics Yo yo, you’re so fine Babe (Hey) I do this for you Aah ah, Mmmh Verse: Nahisi, Niko kwenye njozi Huba limenikolea, Kuamka sitamani (Yee) Tena nakusihi, Ulilinde penzi Mwenzako nimenogewa, Hoi tahabani (Hoi tahabani) Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu Wangu daktari Kukupenda, Ni wajibu Nisiulizwe maswali Baby, Nipe taratibu Huo utamu asali Kukupenda ni wajibu Nisiulizwe no no! Chorus: Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Sababu I Love You Eeeh I Love You Mmmh Verse: Naanzaje kukucheat, nakifata kipi ? Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti Tena umewaacha mbale, Ulipo we hawafikii Maombi yangu toka kale, Nimepata rafiki (Mmmh) Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu Wangu daktari Kukupenda, Ni wajibu Nisiulizwe maswali Baby, Nipe taratibu Huo utamu asali Kukupenda ni wajibu Nisiulizwe no no! Chorus: Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Sababu I Love You Eeeh I Love You #Jux #Nisiulizwe #King

From the album

Jux album coverJux24 tracks Ā· Track 11

Jux Essentials: From early classics to the latest chart-toppers, all in one place....

→

You may also like