Malkia Karen x Yammi - Kosha ( Official Music Video )TRACK

Sound

Malkia Karen x Yammi - Kosha ( Official Music Video )

zawwa🌸
3:25 duration35229 plays174 favoritesMedium quality
Hip-Hop
Play now

About this track

Brand new single by Malkia Karen x Yammi "K O S H A" . Follow Malkia Karen Instagram: https://www.instagram.com/malkiakaren Marketing & Promotion Big Boy Mavin : Instagram : https://www.instagram.com/bigboymavin For business enquiries: mavinmagmt@gmail.com Malkia Karen x Yammi - K O S H A ( lyrics ) Sisi ndo vile Vitu wanataka Nyinyi bado hamjamaliza mnapenda mambo ya Anasa.. mh mhh Sisi ndo hivo vitu tunataka, Hatuombi tunaagiza na vinakuja kwa haraka Aaiiii! Nyie hamna akili , hamjui kubembeleza mnatumia mwili Aiiii! Endeleeni kujistiri nyie muda wenu mshamaliza Sie ndo kwanza alfajiri.. Mi Napenda House.. Mi napenda Nyumba Mi napenda Amani Mi napenda Uchumba Nampenda kila hali Mi napenda Mavumba Japo hanijali We akili imeyumba Hamjajua nyinyi Sie ndo twawakosa Roho Mnajisumbua Bure si twawakosa roho.. Si wangewaona Nyinyi sie ndo twawakosa roho Mnajisumbua bure si twawakosha roho.. Eeh eh eh.. Oooh oh oh oh Eeh eh ehhh.. Oooh oh oh ohh! Si Mngekua Bahkresa kwa huko kupenda Pesa Kwenu Haki Mnajitesa na Mnatesa hizo sehemu zenu Si Mngekua Bahkresa kwa huko kupenda Pesa Kwenu Haki Mnajitesa na Mnatesa hizo sehemu zenu Nyie Hamjui Kunesa nesa maana hizo sio style zenu Hii micheza yakisasa Nyie mlichezaga Bolingo Mayenu.. Ohh hali.. Ooh habari hawawapendi maana nyie mmezeeka mwili Haalii ohh habarii Wanapenda Tumechangamka kama Pilipili Mi Napenda House.. Mi napenda Nyumba Mi napenda Amani Mi napenda Uchumba Nampenda kila hali Mi napenda Mavumba Japo hanijali We akili imeyumba Hamjajua nyinyi Sie ndo twawakosa Roho Mnajisumbua Bure si twawakosa roho.. Si wangewaona Nyinyi sie ndo twawakosa roho Mnajisumbua bure si twawakosha roho.. #MalkiaKaren #Kosha #Yammi

From the album

Malkia Karen album coverMalkia Karen25 tracks · Track 21

Welcome to MENU TOUR EP. 2 🍟🍳 In this episode, Malkia Karen explores one of Tanzania’s most loved s...

→

You may also like