TRACKSound
Menu Tour Ep 1 - Captain Gardner G Habash
zawwa🌸
14:04 duration6278 plays0 favoritesMedium quality
Play now
About this track
Hello. Karibu kutazama video mpya kutoka kwenye series iliyoandaliwa na marehemu Captain Gardner G. Habash – Menu Tour. Hii ndiyo kazi yake ya mwisho, show ya kipekee inayokupeleka kugundua ladha mbalimbali katika migahawa na eateries zenye ubunifu wa kipekee. 🍽️✨ Ni zaidi ya chakula – ni safari ya urithi, kumbukumbu, na upendo wa Gardner kwa maisha na ladha. ▶️ Tazama sasa na ushuhudie urithi aliouacha hai.
From the album
Malkia Karen25 tracks · Track 18Welcome to MENU TOUR EP. 2 🍟🍳 In this episode, Malkia Karen explores one of Tanzania’s most loved s...
→










