TRACKSound
Neema Gospel Choir - Umeinuliwa (Live Music Video)
About this track
Umeinuliwa โ Neema Gospel Choir (Official Video) Karibu ushiriki nasi katika ibada ya kipekee kupitia UMEINULIWA, medley ya nyimbo za sifa na kuabudu zenye ujumbe wa kuinua, kumtukuza na kumkiri Mungu kuwa peke yake ni Mtakatifu, Mwenye Enzi, Mponyaji na wa Ajabu. ๐ซ โHakuna kama Wewe, BWANA โ Umeinuliwa juu!โ Wimbo huu umetungwa kwa moyo wa ibada na shukrani kwa Mungu wetu ambaye ametukuka juu ya mataifa yote. Mataifa yatetemeka mbele zake, hakuna awezaye kulinganishwa Naye. ๐ Subscribe kwa chaneli yetu ili upokee nyimbo zaidi za kiroho, sifa na maombi. ๐ Sikiliza kwenye majukwaa yote ya kidigitali โ Spotify, Apple Music, Boomplay, na nyinginezo! ______ Songwriter & Composer: John Lisu, Godwin Mlambo & Fredrick Japhet (Masanja) Leader: Willbert Baraka #neemagospelchoir #gospel #umeinuliwa โโ ๐๐ข๐ก๐ก๐๐๐ง ๐ช๐๐ง๐ ๐จ๐ฆ: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelchoirtz Tiktok: https://www.tiktok.com/@neemagospelchoir ๐๐จ๐ง๐ญ๐๐๐ญ ๐ฎ๐ฌ: Whatsapp: +255 766 777 288 Email: info@neemagospelchoir.org Website: www.neemagospelchoir.org ยฉ๏ธ2024
From the album
Neema Gospel Choir59 tracks ยท Track 12Official Neema Gospel Choir Youtube Channel ๐Spreading joy, love, and soulful Gospel Music ๐ค ๐Multi...
โ










