Neema - Vestine & Dorcas (Official video 2024)TRACK

Sound

Neema - Vestine & Dorcas (Official video 2024)

Vestine and Dorcas
7:12 duration10290 plays0 favoritesMedium quality
PopCover
Play now

About this track

MIE Presents . Writers : M.Martin &M.Irene Audio: Santana Video: Chriss Eazy Ass Director:Sinta Filmz ,set Manager Niwardu &Hussein Traole,Rodicked,starring :Rufonsina Guitars: Arsene & Gasige , keys :Ishimwe Photographer : xander (MINE PICTURES) costume designer : Incabure EXECUTIVE PRODUCER: MIE Entertainment LTD Neema πŸ™ LYRICS: Nimezaliwa katika familiya iliyo zalauliwa sana Maisha magumu sana hayo Ndio Nimepitiya Nilithamani sana kujiua lakini habikuwezekani matajiri waliponiona wakauliza mtoto huyu ni wanani waliniceka Nilicekelewa sana Nami nilikuwa naona walikuwa na Sababu. Ulikubali ukamuaga Damu yako Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure Muanadamu mwenye dhambi Ohh ohh Neema yako Niliona CHORUS: Neema Yako na Upendo ni ya ajabu Asante kwa Damu yako imeniokowa sijui niseme nini mbere zako baba asante kwa yote olionitendeya Njaa kiwu na machozi huzuni ,kuhukumiwa na wengi na majaribu mengi hapo ndipo, umunitoa ukanipandisha historiya yangu yote ikabadilika Bila wewe baba mimi ningekuwa wapi bila upendo wako ningekuwa mbari bira wema na fadhili zako baba ningekufia gizani Ulikubali ukamuaga Damu yako Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure Muanadamu mwenye dhambi Ohh ohh Neema yako Niliona CHORUS: Neema Yako Na Upendo ni ya ajabu Asante kwa Damu yako imeniokowa sijui niseme nini mbere zako baba asante kwa yote olionitendeya End. MIE Music "Jesus is Our Shepherd "

From the album

Vestine and Dorcas album coverVestine and Dorcas20 tracks Β· Track 15

A collection of Vestine and Dorcas’s most beloved hits, taking you on an unforgettable musical jour...

β†’

You may also like

DJ J Heat Radio cover art
DJ J Heat RadioJam City, Stink Floyd, DJ J Heat, DJ Manny, Storm Mollison, Circuit 900Music
CLIP Radio cover art
CLIP RadioWoo Da Savage, Lexa, Gritty Lex, CLIPMusic